Zulu Worship songs

DOWNLOAD MP3: Zuchu – Sukari Mp3/Video Download

Spread the love

DOWNLOAD MP3: Zuchu – Sukari Mp3/Video Download

DOWNLOAD HERE 

Eyoo Trone
(Ayolizer)

[Verse 1: Zuchu] Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza (Chombeza)
Tena nikiizidisha
Ananiambia koleza (Koleza)

Nikitaka kusitisha
Ananiambia ongeza (Ongeza)
Japo imedhibitishwa
Ila itampoteza

[Hook: Zuchu] Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)

Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa

[Chorus: Zuchu] Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)

Yelele, yelele…

[Verse 2: Zuchu] Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi

Baba chanja, baba chanja (Eeeh..)
Chukua vyote chukua (Eeeh..)
Vitafune nganja nganja (Eeeh..)
Chagua mwaya chagua (Kula)
Ujiboosti na karanga ee (Eeeh..)
Tuliza na kitumbua (Eeeh..)
Jihadhari na majanga wee
Usije ukaugua maana

[Hook: Zuchu] Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)

Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa

Zuchu – Sukari Mp3 download

[Chorus: Zuchu] Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)

Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)

[Bridge: Zuchu] Nimroge kwanini kashaninogea
Dambua, dambua
Utamu wa sukari ni tamu kolea
Dambua, dambua

I say my boo dambua (Dambua)
We dambua (Dambua)
Halua halua (Dambua)
We dambua (Dambua)

Nasema da dambua (Dambua)
We dambua (Dambua)
Nawa kama unafua (Dambua)
Kiguru nyanyua (Dambua)

Zuchu – Sukari Mp3 download

Comments

0 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker